CHOLEDUZ Omega Supreme [tembe 30]
CHOLEDUZ Omega Supreme ni kirutubisho cha afya chenye Omega-3 ya kiwango cha juu, kilichotengenezwa kwa teknolojia ya molecularly distilled ili kuhakikisha usafi na ubora wa hali ya juu. Kina DHA na EPA zinazosaidia afya ya moyo, ubongo, mishipa ya damu na kupunguza mafuta mabaya (cholesterol) mwilini.
Bidhaa hii pia imeongezewa Vitamin E, inayosaidia kulinda seli za mwili dhidi ya uharibifu (antioxidant) na kusaidia afya ya ngozi. CHOLEDUZ Omega Supreme husaidia:
Kupunguza cholesterol na triglycerides
Kuimarisha afya ya moyo na mzunguko wa damu
Kuboresha kumbukumbu na afya ya ubongo
Kusaidia viungo (joints) na kupunguza maumivu ya mwili
Kuimarisha afya kwa ujumla
Inafaa kwa wanaume na wanawake wanaojali afya ya moyo na maisha bora ya muda mrefu.
TSH 120,000
- Category Virutubisho vya Afya (Health Supplements)
- Availability 0 Units
- SKU PROD-7150280d-433c-4d95-add1-65d7c02ffe69