kirutubisho lishe cha C24/7
kirutubisho lishe cha kiwango cha juu kilichotengenezwa kusaidia mwili kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi kila siku.
C24/7 sio dawa.
Haina lengo la kutibu au kuponya ugonjwa.
Hii ni dietary supplement yenye mchanganyiko wa vitamini, madini, antioxidants, phytonutrients, na virutubisho vya mimea vinavyosaidia kuimarisha kinga, kuongeza nguvu ya mwili, na kuboresha mzunguko wa damu.
Kila kapsuli imebeba zaidi ya virutubisho 20 muhimu ikiwemo:
- Vitamini A, C, D, E na B-Complex
- Zinc, Selenium na Magnesium
- Spirulina, Grapeseed Extract, na Resveratrol
- Mchanganyiko wa matunda na mboga (whole food blend)
Kwa wanaume ninaowashauri, wengi huripoti mabadiliko haya ndani ya siku 90 za matumizi sahihi:
- Kuongezeka kwa stamina na nguvu za mwili
- Kupungua kwa uchovu wa mara kwa mara
- Kuboreka kwa usingizi
- Kuongezeka kwa hamu ya tendo kutokana na mzunguko mzuri wa damu
- Kinga kuwa imara zaidi
USHUHUDA WA WATEJA
Mteja mmoja (miaka 34, Dar es Salaam) alikuja na malalamiko ya uchovu sugu na kupungua kwa hamu ya tendo. Baada ya kutumia C24/7 kwa miezi 2 pamoja na marekebisho ya lishe na mazoezi mepesi, aliripoti kuongezeka kwa nguvu, kurudia tendo bila uchovu wa haraka, na usingizi kuwa mzuri.
Mwingine (miaka 41, Mwanza) alitumia kama sehemu ya mpango wa kuimarisha mwili baada ya msongo wa kazi. Ndani ya mwezi mmoja aliripoti kupungua kwa maumivu ya mwili na kuongezeka kwa ufanisi kazini.
Jinsi ya kutumia:
Kapsuli 2 kwa siku Mmasaa ma 2 baada ya chakula kikuu, kunywa na maji ya kutosha. Matumizi yaendelee angalau siku 90 mfululizo kwa matokeo bora.
Nani anafaa kutumia?
- Watu wazima wanaotaka kuimarisha kinga
- Wanaume wanaotaka kuboresha stamina na mzunguko wa damu
- Wenye uchovu wa mara kwa mara au msongo wa kazi
Tahadhari:
- Sio mbadala wa dawa za hospitali
- Mjamzito au mwenye ugonjwa sugu ashauriane na daktari
- Usizidishe dozi
Bei:
Tembe 30 = Tsh 130,000
Inapatikana kupitia website yangu kwa oda ya moja kwa moja.
Kumbuka,
afya bora huanzia kwenye lishe sahihi.
C24/7 ni uwekezaji wa mwili wako – sio gharama.
Ukiwa tayari kuanza,
agiza pakiti yako ya tembe 30 leo na anza safari ya kuujengea mwili msingi imara wa afya.
TSH 99,900
TSH 130,000 SAVE 23%- Category Virutubisho vya Afya (Health Supplements)
- Availability 100 Units
- SKU PROD-818816e8-a11c-491e-8345-c91c62a47a09