RISHE YA ASUBUHI YA MWANAUME
RISHE YA ASUBUHI YA MWANAUME ni mchanganyiko wa asili (hakuna kemikali) wa mbegu, nafaka na viungo vya afya uliotengenezwa mahsusi kwa mwanaume anayejali nguvu, stamina na ubora wa maisha ya ndoa/uhusiano.
Rishe hii hufanya kazi kwa kuujenga mwili ndani kwa ndani, siyo suluhisho la muda mfupi.
Faida kuu:
✅ Huongeza nguvu na ubora wa mbegu
✅ Huamsha hamu ya tendo la ndoa
✅ Huboresha pumzi, stamina na energy ya mwili
✅ Husaidia mwili kupata virutubisho muhimu asubuhi
✅ Huchangia afya ya moyo na mishipa ya damu
Imetengenezwa na:
Mbegu zaidi ya 13 aina (chia, maboga, ufuta mweusi, tangawizi, mdalasini n.k)
Nuts & nafaka (almond, walnut, oats)
Asali halisi (hakuna sugar ya kiwandani)
Jinsi ya kutumia:
1️⃣ Koroga kijiko 1 cha unga kwenye maji moto 1½ kikombe
2️⃣ Pika dakika 5–7
3️⃣ Ongeza asali kijiko 1 (na maziwa kama unapenda)
☀️ Tumia asubuhi kabla ya kifungua kinywa
Package ya siku 30:
📦 Unga Lishe (1kg)
🍯 Asali halisi
📘 Mwongozo wa matumizi
👉 Inafaa kwa wanaume waliopoteza nguvu, stamina au hamu, na pia wale wanaotaka kujiongezea uwezo.
TSH 100,000
- Category Lishe Asilia / Herbal Nutrition
- Availability 1000 Units
- SKU PROD-caadce28-1c91-4bd9-aad0-5433afbbcc5a